+50
Events Created
+12,500
Guests Managed
+10,000
Cards Scanned
+50,000
Bulk SMS Sent
Huduma Muhimu

Zawadi ya Kamati
Beji 12 (badge) za kamati BURE ikiwa utanunua kuanzia kadi 150 za Harusi au Send-Off.


Save the Date
Kadi za “SAVE THE DATE” ni BURE kabisa kwa shughuli yako! Iwe ni Harusi, Send-Off, nk.

Hamia Events
Uzoefu wa kutosha!
Kazi zenye UBORA.
Hamia Events tuna uzoefu wa kutosha katika kuhakikisha mialiko ya shuguli yako inafanyika vizuri ipasavyo, hatuishii kutengeneza kadi nzuri pekee, bali tunafika ukumbini kwenye shughuli yako kufanya ukaguzi wa kadi zote! Lengo ni kuhakikisha waliolikwa tu ndio wanahudhuria shuguli yako, haijalishi kama utakuwa na waalikwa zaidi ya 100 au chini ya hapo, timu yetu itafika na kuhakiki kadi zote kwa haraka na usahihi kabisa.
Tunafika kwenye shughuli zote iwe ni Harusi, Send-Off, Graduation, Kitchen Party, Vikao vya biashara na makampuni, nk. Wasiliana nasi kwa kufika ofisini kwetu au kupitia namba zetu (+255749987122) tujadili kuhusu shughuli yako.

















